7:52 AM
Kampuni ya simu iliyo kubwa kabisa nchini Kenya inadhamini mashindano
mengine ambayo yanalenga kuongeza nguvu ya ubunifu wa kiteknolojia wa
vijana na kuwasaidia kuyafanya mawazo yao programu ya simu za mkononi
yafanye kazi na yaweze kutengeneza fedha.
0 comments:
Post a Comment