Monday, June 17, 2013

HUYU NDIO MSANII WA KIKE BONGO MOVIE ANAEVAA VIZURI NA KUPENDEZA SANA

 Wema Sepetu ndio ameongoza kwa kupigiwa kura nyingi, hivyo yeye ndio Msanii wa Kike Bongo Movie anaevaa vizuri na kupendeza zaidi ya wenzake.
 HAYA NI MATOKEO BAADA YA KUKUSANYA KURA ZILIZOPIGWA NA WADAU
ENDELEA KUPIGA KURA KWENYE SHINDANO LIJALO

0 comments:

Post a Comment