Thursday, June 6, 2013

MUME WA KHADIJA KOPA AMEFARIKI


Mume wa Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania Khadija Kopa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Lugalo. Mumewe alikuwa anaitwa Jafari Ally.
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani.

0 comments:

Post a Comment