Msanii ambae alikuwa na Ngwair South Africa ambae walipata wote matatizo
lakini yeye alinusurika amewasili nchini Tanzania na kwa taarifa ambazo
tunazo yupo Morogoro na anamzika rafiki yake Albert Mangweha. Kwenye
picha hapo juu anaelia na kushikwa ndio M 2 THE P.
Picha na Dj Choka Instagram
0 comments:
Post a Comment