Kwa habari ambazo zimeenea mjini kuhusiana na mwanamke aliekamatwa Misri
akijaribu kusafirisha madawa ya kulevya taarifa inasema kuwa kwa sheria
za misri ukikutwa na kosa la kuingiza / kutoa madawa adhabu yake ni
kunyongwa.
Tazama hii video hapo chini ikionesha tukio zima
Credit : Social Network - YouTube.
0 comments:
Post a Comment